LIVE UPDATES: Mazishi ya Muhammad Ali

"IAM THE GREATEST OF ALL THE TIME", not only the greatest,but the greatest of ALL THE TIME!!!!!! rest in peace champ.
 
Uwiiiiiiiie yeuwiiiiiiiioe
 
Nauliza wadau, mbona waombolezaji waliokuwa wengi ni weusi? Weupe walikuwa kwa mbali sana! Ina maana gani?
 
Weusi na sisi ni watu wa ajabu bila mweupe hatuwezi kufanya hiyo shughuli peke yetu?
 
Kwa kweli nimekuwa nikiangalia jinsi wamarekani walivyomuaga Mohammed Ali kwenye safari yake ya milele.

Wamejipanga kwa maelfu barabarani kumuaga, wa rangi na dini zote, wazee kwa vijana mpaka watoto ambao ni umri wa vitukuu vyake, wametandika maua na hata kurusha jina lake kwenye ndege. Ni kweli alikuwa The Greatest kama alivyojitabiria.

Ukapumzike salama Mohammed Ali you will forever remain The Greatest in our hearts.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…