Live Updates: Man City Vs Man Utd, live from the Ettihad

Balantanda

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2008
Posts
12,484
Reaction score
4,826
Manchester derby....

Dakika ya 5 sasa

Man City 0-0 Man Utd

Full Time

Man City 4-1 Man Utd
 
Dakika ya 10

Man City 0-0 Man Utd
 
Kona kuelekea lango la Utd....Inaokolewa
 
Man Cty wanajitahidi kumkamata Rooney, na wakifanikiwa kwenye hilo habari ya Man Utd itakua mbaya
 
So far Man Utd wamezidiwa...

Webb anambeba Rooney....alistahili kadi
 
Dakika ya 15

Man City 1-0 Man Utd

Kun Agguero
 
Mkuu mbona husemi kama mpira unachezwa nusu uwanja? Na possession ni 67% in favor of Man City?
Hakika Man Utd wamezidiwa...

Kona kuelekea lango la City....Inaokolewa
 
How come Howard Webb anachezesha hii match? Rooney kashafanya faulo tatu, anazoza nae tu lakini hakuna kadi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…