Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Manchester derby....
Dakika ya 5 sasa
Man City 0-0 Man Utd
Full Time
Man City 4-1 Man Utd
Dakika ya 5 sasa
Man City 0-0 Man Utd
Full Time
Man City 4-1 Man Utd
Kona kuelekea lango la Utd....Inaokolewa
Hakika Man Utd wamezidiwa...Mkuu mbona husemi kama mpira unachezwa nusu uwanja? Na possession ni 67% in favor of Man City?
Hakika Man Utd wamezidiwa...
Kona kuelekea lango la City....Inaokolewa
Webb anambeba sana Rooney....