Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,762 Reaction score 14,005 Apr 30, 2014 #121 Kaizer said: Haya kumekucha tena Click to expand... upo hapa eehh!!
MIDFIELD JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 1,944 Reaction score 703 Apr 30, 2014 #122 Kigogo said: Hawa bana wameruhusu vipi goliii Click to expand... Hawakupaki mabehewa nyuma
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,330 Reaction score 17,857 Apr 30, 2014 #123 DonDonald said: Hahahaha Chelsea wamekuwa na sifa mbaya siku hizi Ohh Goli limerudi, basi treni na mabehewa hatuoni kwa muda huu Click to expand... Mbaya kabisa mkuu
DonDonald said: Hahahaha Chelsea wamekuwa na sifa mbaya siku hizi Ohh Goli limerudi, basi treni na mabehewa hatuoni kwa muda huu Click to expand... Mbaya kabisa mkuu
dolevaby JF-Expert Member Joined Aug 25, 2013 Posts 12,955 Reaction score 9,527 Apr 30, 2014 #124 Rapherl said: Chelsea hapa ndo mwisho wao...hawaendi popote Click to expand... Mkuu footbáll unataka kuifanyia mambo za Sheikh yahya? Subiri Filimbi ya Mwisho....!!
Rapherl said: Chelsea hapa ndo mwisho wao...hawaendi popote Click to expand... Mkuu footbáll unataka kuifanyia mambo za Sheikh yahya? Subiri Filimbi ya Mwisho....!!
M manucho JF-Expert Member Joined Apr 20, 2012 Posts 3,403 Reaction score 103 Apr 30, 2014 #125 MIDFIELD said: Hawakupaki mabehewa nyuma Click to expand... Ni sawa kabisa, Chelsea asipopaki anapigwa goli mingi mno
MIDFIELD said: Hawakupaki mabehewa nyuma Click to expand... Ni sawa kabisa, Chelsea asipopaki anapigwa goli mingi mno
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,330 Reaction score 17,857 Apr 30, 2014 #127 DEMBA said: upo hapa eehh!! Click to expand... hahaa yap baby nipo apa uldhan kwenye mchepuko?
S Skype JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,266 Reaction score 1,637 Apr 30, 2014 #128 MIDFIELD said: Hawakupaki mabehewa nyuma Click to expand... Unajua mpira wa atl ni mgumu sana hasa ukikubali kufunguka kama alivyofanya jose leo. Kafunga halafu akajisahau kua atl bila contena wanakupiga
MIDFIELD said: Hawakupaki mabehewa nyuma Click to expand... Unajua mpira wa atl ni mgumu sana hasa ukikubali kufunguka kama alivyofanya jose leo. Kafunga halafu akajisahau kua atl bila contena wanakupiga
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,330 Reaction score 17,857 Apr 30, 2014 #129 David luiz.naona aligeuzwa nje ndani apa goli la pili
Arushaone JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 15,235 Reaction score 13,539 Apr 30, 2014 #130 ndetichia said: goli la torres limedumu kwa dk 5 tu.. Click to expand... Chelsea walijisahau wakaanza kupaki mabasi, kabla hawajajiandaa wakawahiwa! Wana kazi ya ziada.
ndetichia said: goli la torres limedumu kwa dk 5 tu.. Click to expand... Chelsea walijisahau wakaanza kupaki mabasi, kabla hawajajiandaa wakawahiwa! Wana kazi ya ziada.
g click JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 2,427 Reaction score 510 Apr 30, 2014 #131 nadhani atletico ndio mabingwa wapya wa hili kombe
Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,762 Reaction score 14,005 Apr 30, 2014 #132 Kaizer said: hahaa yap baby nipo apa uldhan kwenye mchepuko? Click to expand... haya bana wacha na mimi nishuhudie wazee wa kupaki treni wanavyopigwa mchana kweupeee...
Kaizer said: hahaa yap baby nipo apa uldhan kwenye mchepuko? Click to expand... haya bana wacha na mimi nishuhudie wazee wa kupaki treni wanavyopigwa mchana kweupeee...
S Skype JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,266 Reaction score 1,637 Apr 30, 2014 #133 Kaizer said: David luiz.naona aligeuzwa nje ndani apa goli la pili Click to expand... ndo maana yake eebaba!
Kaizer said: David luiz.naona aligeuzwa nje ndani apa goli la pili Click to expand... ndo maana yake eebaba!
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 57,890 Reaction score 129,941 Apr 30, 2014 #134 kuna jamaa anaitwa Ntuzu na mpwa wake agosti 8 mmewaona mitaa hii maanake nimepita kwao kule darajani hawaonekani kabisa!!!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kuna jamaa anaitwa Ntuzu na mpwa wake agosti 8 mmewaona mitaa hii maanake nimepita kwao kule darajani hawaonekani kabisa!!!!
DonDonald JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 2,542 Reaction score 2,741 Apr 30, 2014 #135 Dah goli la Atletico : kulikuwa na wachezaji 9 wa Chelsea wapo nyuma Afadhali walivyorudisha maana inaonyesha mpira ungekuwa hauvutiii tena Formation ingekuwa :1. 9.1. kwa kipindi cha pili chote
Dah goli la Atletico : kulikuwa na wachezaji 9 wa Chelsea wapo nyuma Afadhali walivyorudisha maana inaonyesha mpira ungekuwa hauvutiii tena Formation ingekuwa :1. 9.1. kwa kipindi cha pili chote
iverson95 Member Joined Oct 12, 2013 Posts 67 Reaction score 8 Apr 30, 2014 Thread starter #136 Bado huy Attachments 1398887051616.jpg 46.4 KB · Views: 112
Job K JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 9,314 Reaction score 7,165 Apr 30, 2014 #137 Skype said: Heart rate ya jose inaonekana kufika 115 bpm Click to expand... Leo mpaka mishipa ipasuke kabisa! Anatuparkia mabehewa sisi Liver siku ile? Hapa ATM wasithubutu kupark bus washambulie kwa kwenda mbele ili huyu mshenzi leo acheze mpira!
Skype said: Heart rate ya jose inaonekana kufika 115 bpm Click to expand... Leo mpaka mishipa ipasuke kabisa! Anatuparkia mabehewa sisi Liver siku ile? Hapa ATM wasithubutu kupark bus washambulie kwa kwenda mbele ili huyu mshenzi leo acheze mpira!
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,330 Reaction score 17,857 Apr 30, 2014 #138 DEMBA said: haya bana wacha na mimi nishuhudie wazee wa kupaki treni wanavyopigwa mchana kweupeee... Click to expand... Haaa leo unyumba utakuwa mtamu maana naona tupo mrengo mmoja...basi haliwezekan tena
DEMBA said: haya bana wacha na mimi nishuhudie wazee wa kupaki treni wanavyopigwa mchana kweupeee... Click to expand... Haaa leo unyumba utakuwa mtamu maana naona tupo mrengo mmoja...basi haliwezekan tena
MIDFIELD JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 1,944 Reaction score 703 Apr 30, 2014 #139 Arushaone said: Chelsea walijisahau wakaanza kupaki mabasi, kabla hawajajiandaa wakawahiwa! Wana kazi ya ziada. Click to expand... Walisahau kuweka fence ya seng'enge chelsea
Arushaone said: Chelsea walijisahau wakaanza kupaki mabasi, kabla hawajajiandaa wakawahiwa! Wana kazi ya ziada. Click to expand... Walisahau kuweka fence ya seng'enge chelsea
MosDef JF-Expert Member Joined Mar 13, 2014 Posts 8,420 Reaction score 17,183 Apr 30, 2014 #140 ndetichia said: dizaini yao ni moja kwani magoli yamefungwa dizaini moja tu.. Click to expand... Nope..chelsea hawajapak basi kabisa leo!!! Nahis Mourinho alikuwa anataka kupata magoli mawili kwanza..ndo apaki basi lake.. lakini ndo kishatibuka tayar..
ndetichia said: dizaini yao ni moja kwani magoli yamefungwa dizaini moja tu.. Click to expand... Nope..chelsea hawajapak basi kabisa leo!!! Nahis Mourinho alikuwa anataka kupata magoli mawili kwanza..ndo apaki basi lake.. lakini ndo kishatibuka tayar..