Hawa madogo sijui wanapikwaje kisaikolojia!hawachoki.
Mabingwa wa mabasi wamekuta parking imejaa treni
safi sana ni furaha tupu kuziba domo la mourinyo
Breaking News: Chelsea Bus has been broken down !!. Mfupa uliomshinda Liverpool umevunjwa vibaya sana na #Team #Atletico . Viva ATM
View attachment 154981
kiukweli roho yangu nyeupeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hao Emirates hata wachukue haina shida...nilikuwa na tabu sana ya Loserfools kushinda EPL na hawa Chel$ki$ kushinda UCL...
Atm ni wanoma joh(kwa lafudhi ya kikenya)
hunishindi mimi
Hamna siku nimefurahi kama leo..