Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,464
Wanchange.formation au niaje.manake beki tatu anapiga nani...moo kaaanza kupata presha
Namhala, wibisaga u-Ntuzu! Maana haya mapigo siyo kawaida! Jamani mnaotumia PC hamumwoni Ntuzu akichuguliachungulia? Penalty!
nadhani atletico ndio mabingwa wapya wa hili kombe
haa haa haa baby ake twende kulala bana hapa morinyo kwishnei
haa haa haa baby ake twende kulala bana hapa morinyo kwishnei