Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
one luv lad tupo pamoja sana..
Ameen!!!Nawatakia kila la heri Azam katika mechi kwani mechi hiyo haina madhara kwa timu yangu. Naiombea Mgambo Shooting iifunge Simba au hata itoe sare ili tubaki salama pale juu.
Kwa Simba sina wasiwasi wataiwatafuna Mgambo kama wamechemshwa vile, lakini kwa hao Azam inabidi wakaze la sivyo watachezea kichapo wamakonde sio wa kuwachukulia poa, kuna vipaji vingine kutoka Ureno huwa vinakuja kucheza kwenye makoloni yao namanisha mozambique na Angola, kwa hiyo wasije wakashangaa kina Erasto Nyoni wanakutana na mdogo wake Figo au mdogo wake Ronaldo.Nawatakia kila la heri Azam katika mechi kwani mechi hiyo haina madhara kwa timu yangu. Naiombea Mgambo Shooting iifunge Simba au hata itoe sare ili tubaki salama pale juu.
Simple!
Ewe M/Mungu muumba wa mbingu na ardhi,nipokelee DUA yangu hii ambayo sijalazimishwa kuiomba.
Najua kuna watu humu ndani wanaitwa ndetichia Kitoabu Masuke mapovu yatawatoka,ila wewe wapotezee tu maana kwako wewe hao ni wadogo kama "NUKTA"
Ila kwa kifupi wabariki hao jamaa wa Msumbiji wamchape Azam bao za kutosha,pia wabariki wapiganaji wetu MUGAMBO wachape huyo SIMBA wa maonyesho ya sabasaba!
Ahsante Mungu.
Cc ACCOUNT FULL Makoye Matale Masuke ndetichia Katavi watu8 Kitoabu

Simba mnyama mkali funga hao mgambo. pia azam noma funga hao wamozambik kama ile ya jana.
Simba mnyama mkali funga hao mgambo. pia azam noma funga hao wamozambik kama ile ya jana.
sawa,subirini kipigo sasa.Katika mchezo wa leo Azam FC inatarajiwa kuwakilishwana Mwadini Ally, Malika Ndeule, Erasto Nyoni, Aggrey Morris, Said Moradi, Kipre Bolou, Himid Mao, Salum Abubakar, Brian Omony, Kipre Tchetche na Khamis Mcha Viali
Mechi inachezwa kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi kuanzia saa 10 Jioni... Viingilio ni Tsh 7,000 VIP A, 5,000 VIP B na Mzunguko ni Tsh 2,000
sawa,subirini kipigo sasa.
Simba wa plastiki au mti hana madhara kwa binadamu.
sawa,subirini kipigo sasa.
Mkuu, kwa nini tuwaombee mabaya Azam? Ushindi wao utatuathiri vipi? Ingekuwa mechi ya ligi hapo sawa. Naomba tuwaunge mkono washinde. Simba wenyewe watandikwe kabisa.