Live Updates: 2014 FA Cup Final Arsenal vs Hull City

DonDonald

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
2,548
Reaction score
2,755



Ikiwa muda ndio unawadia wa mtanange huu kati ya Arsenal na Hull City {Kama baada ya 1 Hour}, wadau tutakuwa tukijulishana kinachoendelea hapo uwanjani.

Leo ni nafasi nzuri ya moja ya hizi timu kushinda kombe, ukikumbuka Arsenal mara ya mwisho kushinda kombe ilikuwa ni mwaka 2005 na Hull City ilikuwa 1966 {ingawa mwaka 2008 walishinda Championship play-off trophy}

Come on Hull City.

Starting line-ups to follow soon.



Half Time

Arsenal 1 Hull City 2

Full Time {After Extra Time}

Arsenal 3 Hull City 2

Arsenal wamekuwa ni mabingwa wa FA Cup 2014
 
Barabara mpenzi mtazamaji na msomaji ktk huu uzi, nitakuwepo kufuatilia mtanange na nikipata wasaa nitakuwa naweka dondoo
 
Hawa leo wanaondoa ukame wa ndoo goli zaidi ya mbili huku oliver akitupia moja..

best luck lads..
 
Dakika 13 kabla ya mpira kuanza , naona uwanjani kuna burudani inaonyeshwa.
 
Fabiansk
Sagna
Gibbs
Per
KO6
Arteta
Ramsey
Carzola
OZIL
POLDI
GIROUD
Come on Gunners.
 
Hivi punde timu zitakua zinaingia uwanjani.
 
Dakika ya 2 Hull city wanapata kona
 
Goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal

Hull Cuty 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…