Live updates 02/02/2014:yanga vs mbeya city

Live updates 02/02/2014:yanga vs mbeya city

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
4,225
Reaction score
869
Wakuu leo ni leo kwenye uwanja wa Taifa mechi kali kati ya Yanga na Mbeya City,hawa unaweza kuwaita wabishi wa ligi kuu bara!

Mbeya City tayari imejigamba kushinda mchezo huo na kwamba hamu yao kubwa ni kuikiza Yanga!

Ni maneni mazito sana kama si matusi ya Mbeya City kwa Yanga!

Mbeya City wanatoa wapi kiburi hiki?!

Nani yuko nyuma ya Mbeya Cty?!

Kutoka uwanja wa Taifa Makoye Matale Revocatus Kashaga, kama umeshatoka Tanga tafadhali sana Updates!

Na wenginei wote jipangeni vizuri kulet updates hapa kwa sbb leo ni Leo lazima akatwe mtu!
 
Last edited by a moderator:
Kweli mkuu! Naisubiri kwa hamu mechi hiyo! But my prayers to MBEYACITY FC.
 
Hata Toto Africans walikuwa wanatamba vivo hivyo ila wakiingia mchezoni wanacheza mdebweedo maksudi!Yaani kama vile mbwa kaona chatu!Mie nalia na huyu jamaa fundi wa kununua mechi.Ukiwaona Mbeya City wameanza kelele hivyo na Yanga wapo kimya ujue biashara asubuhi jioni ni kuhesabu faida tu!Yetu macho

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Une nguvaghila!Imbeya siti ja kukhaja vakukwesa amakhambo, nkoma nkyeni kumwanyaaaaa! Ila namwogopa manji kwa ru.s.h.w.a
 
Yanga wanapata kipigo tu leo

mbeya city wanaloga sana...mpira hawajui..hiyo yote ni nguvu ya soda..mbeya city wasipofungwa leo nitatembea uchi kariakoo ...leo mbeya city lazima wachezee kichapo
 
mbeya city wanaloga sana...mpira hawajui..hiyo yote ni nguvu ya soda..mbeya city wasipofungwa leo nitatembea uchi kariakoo ...leo mbeya city lazima wachezee kichapo

ndugu yangu angalia kauli yako. ucje kuijutia
 
Une nguvaghila!Imbeya siti ja kukhaja vakukwesa amakhambo, nkoma nkyeni kumwanyaaaaa! Ila namwogopa manji kwa ru.s.h.w.a

hakuna cha rushwa wala nini..leo mbeya city wanachezea kichapo tu..
 
mbeya city wanaloga sana...mpira hawajui..hiyo yote ni nguvu ya soda..mbeya city wasipofungwa leo nitatembea uchi kariakoo ...leo mbeya city lazima wachezee kichapo

mpira ungekuwa uchawi timu za sumbawanga na tanga zingetwaa ubingwa kila mwaka
 
Dah! ambao tuko mikoa ambayo haina ligi kuu tunakosa uhondo...... Na TFF inabania timu yetu ya Stand Utd isipande daaaaah!
 
mbeya city wanaloga sana...mpira hawajui..hiyo yote ni nguvu ya soda..mbeya city wasipofungwa leo nitatembea uchi kariakoo ...leo mbeya city lazima wachezee kichapo

Haya anza kufanya mazoezi ya kutembea uchi mapema kabisa.
 
mpira ungekuwa uchawi timu za sumbawanga na tanga zingetwaa ubingwa kila mwaka
Timu yetu ya Ujenzi Rukwa au Katavi Rangers zingekuwa zinatisha Afrika kama sio duniani.
 
Haya anza kufanya mazoezi ya kutembea uchi mapema kabisa.

leo mbeya city watapigwa bao zaidi ya tatu....! mbeya city wasipofungwa nitatembea uchi kariakoo....hii ni ahadi naiweka na daima sivunjagi ahadi zangu
 
Back
Top Bottom