CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Duh! hiisasa dharau libolo tena? Hilo linawafaa majirani zako (Simba ruala)Wanajangwani wote jiandaeni kwa kushangilia kuchukua "ndoo" ya kwanza leo.
Matokeo yatakua:Yanga2-0Azam.
Na wale wanazi wa dadake Azam pia wawepo jamani ili kushuhudia 'LIBOLO'likiipekenyua ile kitu ya mdogo wao!!
Cc Masuke ndetichia ACCOUNT FULL watu8 Kitoabu Revocatus Kashaga 'aka'rage hekimatele Nyenyere ALEYN na wengineo ambao sikuwataja.
Huyo jaa sisi hatumuogopi ila sheria na kanuni hazimruhusu.Brandts tupangie Mrisho Halfan Ngassa atutoe kimasomaso leo. Yanga tupeni burudani jamaniii.
Huyo jaa sisi hatumuogopi ila sheria na kanuni hazimruhusu.
Minilifikiri mtachukua ubingwa (kombe) kume ndoo!! nendeni sido zimejazana tele.
Nyinyi shida yenu si ndoo? chukueni mkachotee maji, Sisi tuachieni kombe letu tuka shangilieNyie mna Ubingwa wa VPL?
Sidhani nasikia kafungiwa mechi sita sina hakika pia kama hii ya leo inahusika.Brandts tupangie Mrisho Halfan Ngassa atutoe kimasomaso leo. Yanga tupeni burudani jamaniii.
Nyinyi shida yenu si ndoo? chukueni mkachotee maji, Sisi tuachieni kombe letu tuka shangilie
Sidhani nasikia kafungiwa mechi sita sina hakika pia kama hii ya leo inahusika.
Swali lako nitalijibu ifikapo saa kumi na mbili jioni.kombe lenu lipi?
Sidhani nasikia kafungiwa mechi sita sina hakika pia kama hii ya leo inahusika.
Azam 3 Yanga 1...tutaftane badae
Wanajangwani wote
jiandaeni kwa kushangilia kuchukua "ndoo" ya kwanza leo.
Matokeo yatakua:Yanga2-0Azam.
Na wale wanazi wa dadake Azam pia wawepo jamani ili kushuhudia
'LIBOLO'likiipekenyua ile kitu ya mdogo wao!!
Cc Masuke ndetichia
ACCOUNT FULL watu8
Kitoabu Revocatus
Kashaga 'aka'rage hekimatele
Nyenyere ALEYN na
wengineo ambao sikuwataja.