Live update: Simba SC va Azam FC

mechi ijayo simba vs Kagera sugar hasira zote uku
 
Simba huwa wanaanza ligi kwa ushindi mfululizo then droo mfululizo na wanamaliza na vipigo mfululizo
 
Ahsante Azam kwakuendelea kunitunzia heshima yangu nakunifanya nitembee kifua mbele utadhani nimepigwa gimi la mgongo.
 
weka na update za mwisho ili kuondoa utata..
 
Si haba wachezaji wamejituma. Hao ndo tuliosajili wajamen. At least naiona nafasi yetu ileeeeee ya 3 kama kawa!
 
Ahsante Azam kwakuendelea kunitunzia heshima yangu nakunifanya nitembee kifua mbele utadhani nimepigwa gimi la mgongo.

Raha ya mbio kumalizia, kukisema nyuma geuka unakuwa wa mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…