brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,393
Baada ya pilika pilika za uchaguzi sasa tunarudi uwanjani.
Vinara wa ligi kuu Tanzania bara wekundu wa msimbazi Simba wanashuka uwanja wa taifa kupambana na Azam Fc leo jumatatu saa kumi jioni, mechi inatarajiwa kuwa kali ya kusisimua kwani kila timu inawania nafasi ya kuongoza ligi pia timu zote mbili hazijapoteza mchezo wowote msimu huu wa ligi.
Kikosi cha Simba kinachoanza leo
1. Dhaira
2. Willium lucian
3. Idrissa rajabu baba ubaya
4. Gilbert kaze
5. Joseph Owino
6. Jonas Mkude
7. Ramadhan singano
8. Said ndelma
9. Amis tambwe
10. Betram mombeki
11. Zahoro pazi
mechi itakuwa live TBC1
Mechi nyingine za leo
Coastal Union vs Mtibwa Sugar
Orjoro JKT vs Ashanti Utd
Ruvu shooting vs Kagera Sugar
UPDATE:
kikosi cha Azam FC
1. Mwadini ally
2. Erasto nyoni
3. Salum waziri
4. Said morad
5. Agrey moris
6. Kipre balou
7. Humfrey mieno
8. Sure boy
9. John bocco
10. Kipre tchetche
11. Joseph kimwaga
UPDATE
Mpira umemalizika
Azam FC wakipata ushindi wa shida wa bao 2 kwa 1, magoli ya azam yote yakifungwa na kipre Tchetche uku bao la Simba likifungwa na ramadhani Singano
FT: Simba 1 Azam 2, uwanja wa taifa