Live update mkutano wa CHADEMA Iringa Mjini

Live update mkutano wa CHADEMA Iringa Mjini

Ana haki ya kuhutubia Iringa mjini kila siku kwa sababu yeye ni mbunge wa Iringa mjini na siyo Iringa vijijini. Kama ataamua kwenda Iringa vijijini ni maamuzi yake au wa vijijini wamualike lkn halazimiki. Hiyo hoja yakuwa aende na vijijini haina mashiko
 
Hongera Msigwa kwa mapambano ya kuwaletea maendeleo wana Mbeya
Huyu ni mwana-chadema mfu, hajui Iringa ni wapi na mbeya ni wapi kazi kwelikweli.
Hizi ndizo Akili kubwa za kupoteza kumbukumbu haraka kiasi hiki.
 
Huyu ni mwana-chadema mfu, hajui Iringa ni wapi na mbeya ni wapi kazi kwelikweli.
Hizi ndizo Akili kubwa za kupoteza kumbukumbu haraka kiasi hiki.

Just a slip of tongue, tulikuwa na story za Mbeya na jamaa zangu wakati na browse na kisimu changu.
 
Back
Top Bottom