KUKU-DUME
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 474
- 196
kama kwaida leo kunamkutano wa chadema eneo la mwang'ingo kihesa mchungaji msigwa ambaye yupo karibu na wananchi hatua hangaiki kumtafuta kama wabunge wengine ata hutubia hapo nitaendelea kuwapa update....peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzzzzzzzzz....magamba lazima yahanye mwaka huu.