- Mechi ya Kwanza Itapigwa Hivi Punde Kati ya KCCA na Polisi Zanzibar
- Mechi Kali ya Pili Itakua Kati ya Azam na Mtibwa Sugar
- Yanga na JKU iTapigwa Saa 2.15 Usiku
Stay Tuned with Mkolaji; Makoye Matale
mechi ya KCCA na Polisi Haioneshwi LIVE
Lambalamba kwa mdomo wapo lakin uwanjan zero.tutawaonesha kandambili na mikia jinsi muwa unavyoliwa.
Ni kwa matuta au dakika 90? Maana niliambiwa hadi dak. 75, ilikuwa bilabila!Polisi zanzibar wametinga nusu fainali baada ya kuitoa kcc ya uganda, sasa watakutana na simba ya dar es salaam katika hatua ya nusu fainali.
Ni kwa matuta au dakika 90? Maana niliambiwa hadi dak. 75, ilikuwa bilabila!
afadhali simba tunakutana na polisi zanzibarKwa penati, POLISI ZANZIBAR 5-4 KCCA