Saanyingine tujiangalie na wachezaji wetu, Hivi inawezekana vipi mpira kama ule Beki ageuke nao ndani badala ya kutoa uwewakurusha na timu nzima ije kukaba?
Hivi ni vitu basic kabisa katika mpira, Ni uzembe wa kiwango Cha lami.
Kuchoshana tu, Yani nikiangalia timu Kama Argentina,ureno,ufaransa,ujerumani,Brazil nk jinsi wachezaji wao wanavyovuja jasho kwa kuupiga mpira mwingi Kama vile wanapambania uhai wao halafu ukicheki na huu wetu ni Kama vile unachafua macho yako tu...

🤣🤣🤣🤣 Wale wameandaliwa kaka alafu hamna mambo ya kingese ya kudai posho. Wale mzigo upo tayari.
Hili li timu bora kama alivyosema magu...tuchukue wanajeshi wacheze tuu