Live StarTV: Sikiliza yanayojiri Bungeni hivi sasa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live StarTV: Sikiliza yanayojiri Bungeni hivi sasa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dullo, Jun 22, 2012.

 1. Dullo

  Dullo JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 24, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Tunaotumia mobile je?
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hapo chacha
   
 4. Dullo

  Dullo JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 24, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tundu Lissu, Saidi Mkumba na Mhe. Mbarouk wakiwa Studio za Dodoma
   
 5. B

  Ba'mdgo JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Mkuu noamba unijulishe jinsi ya kupost mada. kwani sijui hata niclick wapi
   
 6. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Neno dhaifu ni la kawaida sana mbona Mh. Mbowe alilitumia mara kadhaa jana bungeni akisema serikali dhaifu lakini spika (Makinda) hakumwambia kutoa maneno hayo ni kwa sababu Mbowe alikuwa anaanza kuzungumzia mapungufu ya serikali kabla ya neno dhaifu lakini Mnyika alikuwa anaanza na neno Jk ni dhaifu kabla ya kueleza kwa nini dhaifu na kuonekana kama personal attack.
   
 7. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  jk ni dhaifu sana
   
 8. nginda

  nginda JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 745
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JK ni Adhabu kwa watanzania
   
 9. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  sasa mbona watu wamemkomalia mnyika kana kwamba yeye ni mkosaji kuliko?
   
 10. N

  Newvision JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Udhaifu wa JK umetufikisha hapa tulipo katika miaka hii kumi ya kutawala kwake otherwise this country deserves to be called a strong country because we have many of the resources that many of those who surround us haven't!!
   
 11. N

  Ndekwakwise Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani tuache kujifanya hatujui Mbona vitu vipo wazi Mnyika kamtaja mtu personal Mboye kaitaja serilali vinafanana? Na hata ivyo pale imesomwa sheria zao kuwa ukifanya hivi adhabu yake ivi Co mtu kaamua tuu kufanya vile Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni bana.
   
 12. L

  LOVI MEMBE JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,121
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Infact ni jehanamu ndogo
   
Loading...