Intelsat JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 323 Reaction score 533 Mar 30, 2016 #1 Wakuu nahitaji ku shoot video live na kuionesha hapo hapo ukumbini kwa kutumia project nitumie camera gani ambao itatuma data wireless ktk projector nahitaji kushoot na kudisplay event bila nyaya
Wakuu nahitaji ku shoot video live na kuionesha hapo hapo ukumbini kwa kutumia project nitumie camera gani ambao itatuma data wireless ktk projector nahitaji kushoot na kudisplay event bila nyaya
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,228 Reaction score 44,230 Mar 30, 2016 #2 ni kitu cha kawaida au unataka proffesional camera? kama ni kawaida tu tumia apps za simu zinazofanya simu kama security camera zinatastream live kinachoonekana kwenye camera ya simu.
ni kitu cha kawaida au unataka proffesional camera? kama ni kawaida tu tumia apps za simu zinazofanya simu kama security camera zinatastream live kinachoonekana kwenye camera ya simu.
Bonesmen JF-Expert Member Joined Jan 18, 2016 Posts 929 Reaction score 994 Mar 30, 2016 #3 Chief-Mkwawa said: ni kitu cha kawaida au unataka proffesional camera? kama ni kawaida tu tumia apps za simu zinazofanya simu kama security camera zinatastream live kinachoonekana kwenye camera ya simu. Click to expand... Mkuu hio professional ikoje mi pia nataka hii kitu
Chief-Mkwawa said: ni kitu cha kawaida au unataka proffesional camera? kama ni kawaida tu tumia apps za simu zinazofanya simu kama security camera zinatastream live kinachoonekana kwenye camera ya simu. Click to expand... Mkuu hio professional ikoje mi pia nataka hii kitu
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,228 Reaction score 44,230 Mar 30, 2016 #4 Bonesmen said: Mkuu hio professional ikoje mi pia nataka hii kitu Click to expand... proffesional namaanisha camera mkuu, camera ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya kazi hizo.
Bonesmen said: Mkuu hio professional ikoje mi pia nataka hii kitu Click to expand... proffesional namaanisha camera mkuu, camera ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya kazi hizo.