Kirefu cha JMT ni nini?Kwa sasa viongozi mbalimbali wanawasili,dr Bilal ameshaingia.
lina wachoma?vipi Chadema wapo. Wasije wakatoka nje mkuu akianza kuhutubia.
Do some editing kwa heading yako bse 1961 JMT haikuwepo bali tulikuwa na Tanganyika
I wish Tanganyika yetu irudi maana zenji ndo washaanza kumekguka
lakini wewe umependekeza leo ni siku ya kumbukumbu uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yaani (JMT)...? hivi huwezi kusherekea siku ya kuzaliwa kwa Babu yako ingawa hayuko duniani ni mfano tunaogopa kutumia hilo jina la Tanganyika kwa sababu hilo taifa halipo kwa sasa.ningeweza kutumia Tanzania bara but hata hilo taifa linatambuliwa na waandishi wa habari.unadhani kikwete ameenda pale kama raisi wa Tanganyika,Tanzania bara,jamhuri ya watu wa Tanganyika au jamhuri ya muungano wa Tanzania(JMT).CONFUSING !!!
Yote haya ni kwa sababu ya katiba iliyozeeka.
I will never edit kama vipi kila mtu atoke na jawabu lake la hii Tungo TATA.
lakini wewe umependekeza leo ni siku ya kumbukumbu uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yaani (JMT)...? hivi huwezi kusherekea siku ya kuzaliwa kwa Babu yako ingawa hayuko duniani ni mfano tu
Hahah mzee wa 24 ni afadhali uichukue kama mama:babu hajafa(yupo ana miaka 49) ila jina lake limebadilika ingawa kuna utata wa jina lake.
Hahah mzee wa 24 ni afadhali uichukue kama mama:
alipokuwa mdogo aliitwa Tanganyika, baada ya kukua akaolewa na jina lake likabadilika kuwa Tanzania. So, ni sahihi kimuita Tanganyika na ni sahihi kumuita Tanzania...swala labda ni wakati gani na kwa madhumuni yapi!