Source. TBC1 LIVE
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abas Kandoro ameonekena TBC1 akiwatambulisha wakuu wa mikoa asilimia 90 wote wako mbeya na ambao hawapo wamewakilishwa na wakuu wa wilaya kutoka mikoa husika.
Waziri Mkuu na baadhi ya Mawaziri wapo kwenye shughuli hii.
Gharama yake naamini ni kubwa sijaona sababu. wanachezea fedha zetu tu.
Watoto wa shule ni mwengi lakini wale ambao walikuwa kwenye mazoezi kwa vitendo 'rehearsal' hawajakwenda shule miezi miwili na zaidi na kukosa masomo. hawa ni watoto kutoka shule za Kayumba za wananchi masikini huwezi kuona mtoto kutoka shule za Mchepuo wa kiingereza ' English medium'