Ipo siku nitalivizia hilo likibatari nilimwagie maji,huu ni ujinga kuendekeza mambo yanayoigharimu nchi,yani msururu wa magari karibu mia mafuta wanapata wapi?na bado maambukizi ya VVU yanayotokana na shughuli za mwenge ni makubwa mno huu ni mwendelezo wa fikra za kizee za ccm,hakuna utaifa hapo ni mbinu za kujenga chama zilizopitwa na wakati