Live on ITV - UZALENDO: Dr Slaa vs Mangula

Status
Not open for further replies.

Misukule hujua misukule wanzao. Hivyo kwa kuwa msukule huzaliwa na msukule hivyo basi mama na baba wa msukule nao ni misukule na ukoo mzima ni misukule na washirika wao katika vyama ni misukule. Hivyo basi msukule huyu katoka Chama Cha Misukule kwa kifupi hujulikana kama CCM.
 
Tunaomba kipindi kiongezwe dakika walau kiwe kama kile cha dakika 45 cha j3 ...Tafadhari sana uongozi wa ITV.
 
Nakereka na wasiojua kusoma, ITV sio TV
Tuliza akili yako japo kidogo, nilimuuliza mleta mada hakukamilisha post yake kuwa kipindi cha uzalendo kitakuwa hewani kwa TV gani au channel gani. Sasa wewe sijui unakereka na nini tena!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…