ndevu mzazi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 687
- 238
Taarifa yako haijakamilika, hicho kipindi kinarushwa TV gani?View attachment 105205
1:00 USIKU leo alhamisi Usikose kuangalia kipindi kipya kabisa cha UZALENDO kikuhusu mambo yanayojiri katika medani ya siasa nchini na waalikwa wakiwa wanasiasa kutoka vyama tofauti wakichambua hoja mbalimbali kuhusiana na hali inavyoendelea nchini.Katika kipindi cha leo tutakuwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Bwana Philp Mangula na Katibu Mkuu wa Chadema,Dk.Wilbroad Slaa
chagga chanel?? mbona unaweka mada kishabiki ht haina vitu mhm ww
Kama ni recorded siangali, inatakiwa kitu kiwe LIVE, vipi muuwaji wa tembo, msomari Kinana, ndio kaamua kumkimbia Dr.Slaa mazima?View attachment 105205
1:00 USIKU leo alhamisi Usikose kuangalia kipindi kipya kabisa cha UZALENDO kikuhusu mambo yanayojiri katika medani ya siasa nchini na waalikwa wakiwa wanasiasa kutoka vyama tofauti wakichambua hoja mbalimbali kuhusiana na hali inavyoendelea nchini.Katika kipindi cha leo tutakuwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Bwana Philp Mangula na Katibu Mkuu wa Chadema,Dk.Wilbroad Slaa
Usirudie tena kuleta taarifa nusu nusu. Jipange.Wakuu hicho ni kipindi kipya kitakuwa kinarushwa kila Alhamisi kupitia ITV.
Kwa kuanzia leo kitakuwa hewani na Dr.Slaa na Mangula watakuwepo.
Please wadau wote mnakaribishwa kutazama na wengine kuleta updates hapa hapa JF.