LIVE: Mkurugenzi wa Mamlaka ya Anga anaongelea ishu ya ndege za Fastjet

Sasa kwa kuwafungia fastjet ndiyo mmewasaidia wale wanaodai au ndiyo mmewadidimiza kabisa!
 
Kamwele alishamaliza kila kitu hizi nyingine ni mbwembwe tu zisizo na Maana!

Hivi unategemea eti leo wakubali kama Kweli wamewabania fastjet?
 
bila kumung'unya maneno ATC linahitaji mshindani wa nguvu kama fastjet, bila hivyo na lenyewe litarudi ICU lilikotoka
 
Maagizo kutoka juu.
Mchawi siku sote huwa anaamini maendeleo ni kuuwa mpinzani wake. Yan hata kama ni masikini hapend kuona jirani yake ni tajiri. Faraja yake ni kuona mwenzake akirudi nyuma.
 
Back
Top Bottom