Live mbele ya ATM

Live mbele ya ATM

Nyanda za chini kutakua na mawingu pamoja na mvua za hapa na pale
 
wanawake kila ilivyo ni mama zetu, dada zetu, wake zetu, marafiki zetu n.k n.k . Kwenye hali kama ile staha inahitajika. Hebu fikiria ingekuwa ni mama/dada/mkeo wamepigwa picha namna vile ungejisikiaje?
Na huwezi jua pengine anaumwa halafu watu wanachukulia mdhaha, pole yake dada wa watu!!!..
 
Mkuu picha nyingi pamoja na video za ajabuajabu zinazo wekwa kwenye mitandao ni comedy za kupangwa kabisa, ikija kwetu huku sisi tunaamini
 
Back
Top Bottom