Karibu upate updates za uhakika bila chenga.
Karibu tujadili.
UPDATES. 8 MINUTE
Dakika ya 8 Borusia ya funga bao kupitia kwa LEWANDOWSKI.
Dortmund v/s Madrid 1-0
UPDATE: 23 MINUTE
Christian Ronaldo akosa Faulo, japo kapiga vizuri kweli.
UPDATES:40' MIMUTES
Dortmund v/s Madrid
1-0
naona Madrid wakiwa wamebanwa mno japo wanaweza kufanya vema endapo watajipanga.
UPDATES:42' MINUTES
Christian Ronaldo asawazisha.
Dort v/s Madr 1-1
UPDATES :45' MINUTES
Sasa ni half time.
Dort v/s Madr 1-1
UPDATES:49
Tupo uwanjani.
Dortmund yaongeza goli la 2 kupitia kwa LEWANDOWSKI yuleyule.
Dort v/s Madr 2-1
UPDATES:53' MINUTE
Khedira mchezaji wa madrid azawadiwa kadi ya Njano baada ya kufanya faulo.
UPDATES: 55' MINUTE
LEWANDOWSKI apiga goli la tatu.
Dort v/s Madr 3-1
UPDATES:66' MINUTE
LEWANDOWSKI Apata goli la 4 la penalt baada ya Alonso kufanya faulo.
Dort v/s Madr 4-1
UPDATE: 78' MINUTE
Hakuna goli lililongezeka, ila huyu Lewandowski anaonekana kuwa tishio kwelikweli.
Na si ajabu akaongeza goli lingne.
UPDATE: 82' MINUTE
hatimae Lewandowski apumzishwa kwa ajili ya mechi ijayo.
Hakika kafanya kazi nzuri.
Katoka akiwa amefunga goli 4 peke yake.
Dort v/s Madr 4-1
UPDATE:90' MINUTE
Weidenfeller kipa wa Dortmund alikuwa kalala kuonesha kuumia, sasa kaamka.
Sijaona dalili ya Madrid kurudisha goli.
Sasa ni dakika ya 93
ikiwa nyongeza ni 4 dkk
UPDATE: 90 +4 Minutes
Mpira umekwisha
Dort v/s Madr 4-1
USIKU MWEMA