LIVE:Kilimanjaro Stars VS Burundi From Kampala-Uganda

LIVE:Kilimanjaro Stars VS Burundi From Kampala-Uganda

Jamani huu uwanja mbona unatia kichefuchefu!

Kwa uwanja huu anayeshinda ni mwenye nguvu ya kukimbiza mpira na bahati ya matope na maji kukusimamishia mpira panapohusika.

Huu uwanja unatuaibisha watu wa afrika mashariki, aibu tupu!!!!!

Mechi ya kwanza hata jezi za wachezaji zilikuwa kituko.
 
Back
Top Bottom