Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,692
Mwanzo ni kifaransa, halafu kikafuata kisukuma na nikamalizia na kiinglish.
Mwanzo ni kifaransa, halafu kikafuata kisukuma na nikamalizia na kiinglish.
Ganike kane kawiza wiza maana yake ni kabinti kangu kazuri zuri, hizo 'ka' zimetumika kama kivumishi cha sifa zikimwelezea mtu ambaye ni mdogo kwa umri au portable.Yeah vyote 2 nimeelewa kasoro kisukuma tu. Leo mtakesha full mauchambuzi wenyewe. Ila simba mjue tu kipindi cha kwanza mlikuwa mrenda kabisa, uchezaji nimchezaji mmoja mmoja. Nibkwamba wakiwa majeruhi basi no ushindi.
Ganike kane kawiza wiza maana yake ni kabinti kangu kazuri zuri, hizo 'ka' zimetumika kama kivumishi cha sifa zikimwelezea mtu ambaye ni mdogo kwa umri au portable.
Ganike kane kawiza wiza maana yake ni kabinti kangu kazuri zuri, hizo 'ka' zimetumika kama kivumishi cha sifa zikimwelezea mtu ambaye ni mdogo kwa umri au portable.
hawa mikia walistahil kipigo.
hawa mikia walistahil kipigo.
Ooh merci Masuke.
AMENIKUMBUSHA PATRICK MAFISANGO alivyopiga mpira siku ya leo kijana ABDI BANDA
Hongereeni sana Simba SC kwa kupoza maumivu. Mtaanza kusema sasa ndiyo mmeanza ligi, msijaribu kusema hivyo, yule shetani wa draw na kufungwa asije akawarudia.
Samahani wadau Hivi Amis Tambwe ana goli ngapi mpaka sasa?
Matokeo yakibaki hivi baadaye watafulika ajabu wakati muda huu wamesusa.
Kwani mkuu tumetipia ngapi mana walivosawazisha nikazima redio
Hamjiamini kabisa mpaka muone hali angalau, ndio mnajitokeza. Shukuruni Yanga tupo hapa kusongesha laa hakuna kitu.
Masuke said:Hii mechi leo tunashinda, Wanasimba leo kuweni na amani, ila sijajua tutashinda kwa goli ngapi.Yaani bora tu uhamie Yanga Masuke, huko kila siku utakuwa unaumia. Nakuoneaje huruma sasa