Live From Taifa: Simba Vs JKT Ruvu

Labda kale ka-issue ka Nyoso kwa Hajib ndo kanawaathiri mambumbumbu fc. Mbona wamelainika sana???
 
Simba ni timu yangu tangu utotoni ila kipindi hiki inasuasua sana...It is my hope that we shall overcome na najua huu ni upepo tu...utapita.

Shauri yako, Prof, Dr. alisema vivyo hivyo kwa Escrow ikamnyea!
 
Atakimbia kama wenzake sema tu kwa sasa anatafutia style ya kutokea. wapi mkuu Amavubi!!!!

Amekimbia si unajua tena raha ya mpira ushindi na karaha ya mpira kushindwa.
 
Yaani bora tu uhamie Yanga Masuke, huko kila siku utakuwa unaumia. Nakuoneaje huruma sasa

Furaha ya yanga ni mpaka Simba ifungwe na timu nyingine. Lakini mkikutana na Simba lazima mchapane bakora wenyewe kwa wenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Hivi hii ndiyo timu iliyoifunga Yanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…