Live from Azam complex :Simba vs Mlandege (friend match)

Hii team siku kadha hapo nyuma si imecheza na utopolo?
 
Ahsante kwa kutujuza, tulicheza na timu gani? Hata sikujua kama mnyama alicheza asubuhi.
Walicheza na kikosi b ila Simba upande wa media kuanzia website yao ni wazembe wanashindwa kupost habari za Simba mpaka tunasikia kwa watu back
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…