Hello guys,
Jamani michezo ya kombe la dunia ndo kufunguliwa leo, natamani sana kuishuhudia but nahisi ratiba yangu itanifanya nishindwe kushuhudia mechi nyingi sana.
Please kama kuna mtu anaweza kunisaidia ni jinsi gani naweza kufanya ili niweze kuiangalia online kupitia pc..
Pongezi na shukrani zimuendee mkali atakayefanikisha hii kitu aisee, nimefurukuta sana but nakiri kushindwa hadi sasa
download app ya bein sports
inafanyaje kazi hii mkuu?
Ina channel zile za kiarabu za bein sports 1 mpaka 9, ukiidownload app yake huwa wanaonyesha mechi nying tu live