Live Dr. Slaa clouds 360/FM

Live Dr. Slaa clouds 360/FM

Tindo

Platinum Member
Joined
Sep 28, 2011
Posts
72,268
Reaction score
130,007
Anasema mengi ikiwemo historia yake hadi Paul Makonda kuwa mshenga wa Samuel Sita kuwa mgombea wa cdm.
 
Anasema mengi ikiwemo historia yake hadi Paul Makonda kuwa mshenga wa Samuel Sita kuwa mgombea wa cdm.
Sangwenya,
mbona Mzee slaa anatoka jasho sana aise?
alienda studio kwa miguu nini halafu alipofika studio tu nao wakampatia chai ya moto sana?

maana mzee anatiririka jasho hatari, halafu inaonekana ana shati moja tu official 🐒
 
Hana mapya ni hayo hayo kila siku ya Lowasa. Yeye ni mnufaika wa ujio wa Lowasa ni mnufaika wa mambo mengi sio kwamba ni msafi sana wa kuwasema wenzie.

Dini ilimshinda, mwenzie Kitima anataka kufata nyayo ila ni kama anaogopa kufanya maamuzi na kubakia kuwa chawa wa CDM
 
Dhibitisha ufaidika wake kwa ujio wa Lowassa. Ukweli haubadiliki ndio maana ni hayo hayo kila siku. Uongo ndio huwa unabadilikabadilika.
 
Back
Top Bottom