Live coverage ya kuumbuana

Bunge linasimamia nini mpaka iunde tume?
Anayeunda tume si ndio wa kuitolea maamuzi,binafsi naona ni ya bure tu.
 
kwani wananchi walichagua kiongozi au dikteta?
Hivi udikteta unaujua wewe au unausikia?
Kama tungekua na dikteta hata hii JF isingekuwepo hapa kukuwezesha kuharisha humu
Fanya utafiti utagundua Magufuli ni laini kupitiliza.Tanzania hakuna upinzani kuna wapiga kelele tu na waropokaji
 
miongoni mwa mambo ambayo sintamsamee Nape ni kulifanya bunge lisiwe live. pale tulikuwa tunawaona wenye uchungu wa wananchi na wachumia tumbo
 
Hivi udikteta unaujua wewe au unausikia?
Kama tungekua na dikteta hata hii JF isingekuwepo hapa kukuwezesha kuharisha humu
Fanya utafiti utagundua Magufuli ni laini kupitiliza.Tanzania hakuna upinzani kuna wapiga kelele tu na waropokaji
Haha pambaf zako Unazungumzia dunia gani wewe unafikiri huu ni mwaka 1978 kipindi cha mwenzake Idd Amini badilika hamna mwenye uwezo wa kuifungia JF China wenyewe pamoja na kuwa juu kiteknolojia wameshindwa kufungia mitandao ya kijamii ndio watafuta kick wa Tz wateweza
 
Too low
Bunge mubashara sio suluhisho la matatizo ya watanzania,mlizoea kuona maigizo na mapovu tu kwa sababu mlipenda kushindana kutoa mapovu bungeni
Sasa Live coverage ya Makinikia I&II,Ya jana na ya leo zina tija gani?Kwa sababu HAKUNA MTU HATA MMOJA ALIYEKAMATWA HADI SASA JUU YA REPORTS 2 ZA MWANZO.
Kama yupo Muandike hapa

May Allah bless Me and You
 
Hivi udikteta unaujua wewe au unausikia?
Kama tungekua na dikteta hata hii JF isingekuwepo hapa kukuwezesha kuharisha humu
Fanya utafiti utagundua Magufuli ni laini kupitiliza.Tanzania hakuna upinzani kuna wapiga kelele tu na waropokaji
Baki kwenye hoja we gamba usitake kuhamisha magoli

Ova
 
Sasa Live coverage ya Makinikia I&II,Ya jana na ya leo zina tija gani?Kwa sababu HAKUNA MTU HATA MMOJA ALIYEKAMATWA HADI SASA JUU YA REPORTS 2 ZA MWANZO.
Kama yupo Muandike hapa

May Allah bless Me and You
Kwani ulilzimishwa kuangalia?
 
Jana tumeona matangazo mubashara ya kamati za bunge kuhusu madini ya almasi na Tanzanite.
Kamati ya bunge imewasilisha kwa Waziri Mkuu ambaye naye leo tena itakuwa mubashara wakati wa kuwasilishwa kwa Mkuu.
Bahati mbaya ripoti hii haikujadiliwa ndani ya bunge ambapo tungepata michango ya wabunge wetu.
Bunge mubashara hakuna lakini mawasilisho ya kamati yanafanyika mubashara,tumekosea!!!
Na bado wanataka tuamini wana nia thabiti ya kupambana na wabadhirifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana tumeona matangazo mubashara ya kamati za bunge kuhusu madini ya almasi na Tanzanite.
Kamati ya bunge imewasilisha kwa Waziri Mkuu ambaye naye leo tena itakuwa mubashara wakati wa kuwasilishwa kwa Mkuu.
Bahati mbaya ripoti hii haikujadiliwa ndani ya bunge ambapo tungepata michango ya wabunge wetu.
Bunge mubashara hakuna lakini mawasilisho ya kamati yanafanyika mubashara,tumekosea!!!
Wewe kwako yupi wa kumsikiliza zaidi, ni mbunge ambaye naye ameletewa report kama wewe au wanakamati waliofanya huo utafiti?
 
Unajiuliza kwanini hawataki ijadiliwa bungeni?

Hapo ndio unaanza kupata hofu kuhusu nia njema yao!
Ni kweli ni jambo lisiloeleweka kwa mbumbumbu kama wewe?

Kwa taarifa yako hata wabunge wangekesha kuijadili report kama Rais hatayaafki maazimio ya bunge ni kazi bure.

Sasa kwasababu maazimio tayari yameshatolewa na kamati huoni kama ni Kitendo cha kupongezwa kwa maazimio kutekelezwa moja kwa moja ikulu bila kulipitia kwa bunge ambalo lingekua linapiga tu soga lakini mwisho wa siku bado wanamtegemea Rais achukue maamuzi?
 
IMG-20170907-WA0009.jpg
Wajumbe wa Time ya Almas
 
Too low
Bunge mubashara sio suluhisho la matatizo ya watanzania,mlizoea kuona maigizo na mapovu tu kwa sababu mlipenda kushindana kutoa mapovu bungeni
Uwasilishaji wa report mubashara ndiyo suluhisho la matatizo??

CCM mna akili za bata.
 
Hawana nia njema, kuna watu wao humo ndani wanataka kuwabeba.
Bunge halina mamlaka yoyote kwa watuhumiwa kwenye kamati yaani bunge haliwatii hata mafua wote waliokutwa na madudu bila uamuzi wa Rais.

Wengi humu jf ni mambumbumbu mnajadili mambo ambayo yanawazidi uwezo.
 
Back
Top Bottom