Baraka F.K
Member
- Aug 28, 2012
- 79
- 28
Jeneral Ulimwengu anaendesha kipindi cha Jeneral on Monday,
Mada ni Mauaji ya Mwngosi - Nyororo
Wachagiaji jaji Mihayo na mwenyekiti wa baraza la Waandishi wa habari
Kama kuna mtu aliniamisha kuwa mauwaji ya mwandishi yule yalipangwa,basi ni wewe mkuu,nadhani ulisema mnafahamiana toka kitambo,na kama unavyojuwa,watu wenye msimamo hawapendwi kabisa na watawala.Je bado unadhani walipanga hii kitu?ni mambo gani ambayo yalikufanya useme kuwa ni mtu mwenye msimamo isiyoyumba?ebu tupe wasifu wake kidogo mkuu wangu.Kama kuna thread ya wasifu wake,basi ntakuja huko kuona inputs zako kuhusu mhanga huyu.Natanguliza shukran.nafikiri kwa hapa tulipofikia ni bora jeshi hili lishtakiwe,maybe wanaweza kupunguza hasira za kutuua manake naona kabla ya 2015 tutaisha wote
Mkuu ni kauli gani hiyo?maana kuna thread ambayo imeshafungwa,ambayo ilisema polisi wamepanga kufanya mauwaji huko Iringa,kweli haukupita muda,mauwaji yakatokea ya mwandishi ndugu Mwangosi.Katibu mkuu wa baraza la habari anasema mauaji ya daud yalipangwa mapema kwa sababu daudi alimuliza rpc swali lililomkera na rpc alivyolijubu alisababisha baadhi ya waandishi kuacha kwenda kwenye mkutano wa cdm kwa kuhofia maisha yao
Kama kuna mtu aliniamissha kuwa mauwaji ya mwandishi yule yalipangwaNbasi ni wewe mkuu,nadhani ulisema mnafahamiana toka kitambo,na kama unavyojuwa,watu wenye msimamo hawapendwi kabisa na watawala.Je bado unadhani walipanga hii kitu?ni mambo gani ambayo yalikufanya useme kuwa ni mtu mwenye msimamo isiyoyumba?ebu tupe wasifu wake kidogo mkuu wangu.Kama kuna thread ya wasifu wake,basi ntakuja huko kuona inputs zako kuhusu mhanga huyu.Natanguliza shukran.
Mkuu mushi namfaham sana Mwangosi,nimefanya naye kazi Tanesco miaka ya 90,kipindi kile alikuwa ni mtu mwenye misimamo asiyetetereka,kumbuka miezi mitatu au minne iliyopita waandishi wa habari wa Iringa waliandamana kuelekea kwa RPC kupeleka madai ya kusumbuliwa na polisi?issue ilanzia pale,naamini na najua Mwangosi ametafutiwa nafasi ya kuuliwa muda mrefu na wameipata,kwa kuwa hakuna siri hapa duniani tutajua kila kitu