Hatimaye aliyawahi kuwa raisi wa liberia ndugu charles taylor baada ya kutiwa hatiani na mahakama ya kimataifa ya haki za binadamu, leo hii amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka hamsini (50) gerezani.
Suala la kutafakari hapa ni, je adhabu aliyopewa inalingana na kosa alilolifanya kwa nchi na raia wa liberia kwa ujumla?
Je angekuwa ni kiongozi wa nchi za magharibi kama vile marekani angetiwa hatiani na kupewa adhabu hiyo?
Je mahakama hii ya kimataifa ni kwa ajili ya viongozi wa kiafrika tu?
Je kuna haja ya watu wanaotuhumiwa kwa makosa kama ya charles taylor kufunguliwa mashtaka katika mahakama za nchi husika?
Mapendekezo/maoni/ushauri/mitazamo yenu ni muhimu sana.
Ocampo is coming very soon TZ
Sijaona kiongozi yeyote wa Ulaya au Amerika akifunguliwa mashitaka juu ya uhalifu.
Hii mahakama imekaa kwa ajili ya viongozi wa Afrika tu na si vinginevyo

Federal Offence that's only 25 years in Jail; they count Day and Night
Sijaona kiongozi yeyote wa Ulaya au Amerika akifunguliwa mashitaka juu ya uhalifu.
Hii mahakama imekaa kwa ajili ya viongozi wa Afrika tu na si vinginevyo
kwa kweli kama hujui basi ingia mitandao yao usome.