KALITHERMAL
Member
- Aug 22, 2013
- 81
- 8
Mwanasiasa wa Ufilipo akizichapa na Brandon Rios,game nzuri sana
[h=2]Manny Pacquiao ndo mshindi,12 rounds done....[/h]
yeah ameshinda kwa points, majaji wote watatu wamempa ushindi. Ilistahili kwa kweli, tusubiri inawezekana mwakani mwezi may kukawa na pambano la kihistoria, manny vs mayweatherkwa points au...!?
yeah ameshinda kwa points, majaji wote watatu wamempa ushindi. Ilistahili kwa kweli, tusubiri inawezekana mwakani mwezi may kukawa na pambano la kihistoria, manny vs mayweather
kwa points au...!?