miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
Imagine huyo mkataji kakosea position ya kukata. Nanii yote inaondoka
Umeona hadi haja zimetokaJamani duh hayo maumivu yake sijui yakoje
hadi nimesisimka jamani
Jamani duh hayo maumivu yake sijui yakoje
kwi kwi kwi kwi
Hunishindi mimi dah! Mwili wote umeshituka! Bila ganzi??!!
mkwe miss u
farkhina;
Acha si kila hoja uchangie. Nikikwambia yako hivy au vile utayajuaje weye?? Miye ukinieleza maumivu mnayo yaita utungu nayajuaje ka unanivunga tu?? Huyo mtoto anachekelea sio kulia, angeupanua mdomo wala si kutabasamu vile.
Wala si vita yakhe ni maoni yangu tuu..!!
Nakubaliana na wewe, hakuna malumbano yasiokuwa na msingi. Pametulia sana