Mkuu nafikiri haufuatilii kwa karibu Bundesliga. Msimu huu wa ligi, Byaern wafungwa magoli 7 tu katika mechi 22! Utapata wapi defence nzuri zaidi ya hiyo Ulaya?
huku ni kujisahaulisha kichapo cha milan kutoka kwa barcelona kesho, ni strategy ya kukabiliana na pre-game stress, anxiety & panic attack!
Hata ujae vp hauwezi kudunda Baharini...
miujiza ya mwisho ni ile ya yule mzee wa Loliondo ambaye juzi kati ameonekana anatoka pharmacy kununua mkojo wa Punda
Nimeipenda hata udunde vipi, mpira haudundi baharini,, so hata Ac milan ya sasa kumtoa Barca ni ndoto za alinacha
Yaani Gang umeandika thread kinazi kweli,ila baadaye msikimbie.tatizo sio kuishangaza Dunia...
Tatizo ni kuwa ushindi wa Arsenal ni finyu sawa na Bata kumeza Boga...
Kitu ambacho hakiwezekani
FC BUYERN MUNIC vs ARSENAL!!!!!!!!!Juz juz tu nimefungwa na blackburn,sina amani kabisa
Yaani Gang umeandika thread kinazi kweli,ila baadaye msikimbie.
Mpira unadunda hata Chelsea hawakutegemewa kama wanafanya maajabu.
Leo tufungwe tusifungwe but mtamtambua JW!
JanjaWeed au nani?