Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
AC Milan is the best! Nobody stands in the way
when they're playing
their best game.
Kwahiyo unadhani atatoa boko,leo kazi tu!Milan are my second-favourite team, insists Puyol
You're joking, right?
Since I started being a football fan in early 70s, sijawahi kuona timu inayocheza mpira mzuri na wa burudani kama Barca - never!......and am not even a Barca fan!
Gang Chomba mkuu kubali tu yaishe barca wako juu saana! Mtakula goli za messi mpaka mshibe kila la kheri mdau leo
Sijui Milan anamsimamisha Nani ili amzuie Messi.
Leo imekula kwako mkuu..Nesi ndo nani?Mbona unamtaja kwa uwoga hivyo..Ahahahahah..Kibibi kizee chatiwa mimba leo maajabu ya dunia.
Mkuu Gang Chomba, I love AC Milan, and you know that. Lakini mwaka huu mmmmmmhhnnnn sidhani kama the Rassoneri watavuka kwa Barca. Wakivuka hii hatua kwa kuwabatua Barca basi nakuletea gomba gold la mwezi mzima
Huo ni uongo...
Kama ulianza kudekea Soka mwishoni mwa miaka ya 70 basi ungekikuta kikosi boora cha Arigo Sacchi kilichochukua ubingwa wa ulaya mara mbili mfululizo.
Milan ya 89-90.
1. Galli
2. Tassotti
3. Maldini
4. Costacurta
5. Baresi
6. Colombo
7. Donadoni
8. Riijhkard
9. Van Barsten
10. Gullit
11. Ancelotti
Kikosi hiki kilichaguliwa kuwa kikosi booora cha Karne.
Hao Barca wako ni mavi matupu kwa kikosi hicho.
nenda katafute habari za makocha hao na jinsi walivyotamba walipokuwa pamoja walifanya nini.
Baba wa soccer la ulaya ni Italia kunakotoka club bora zaidi duniani kama Juventus, Milan, Inter, Roma, Lazio, Napoli n.k.
Match na wakatalunya ni ngumu ila "hakuna marefu yasiyo na ncha"
Kama walifungwa na madem zetu wa Celtic then Ac Milan wakaze buti tu Barca inafungika
kazi mnayo kujipa moyo juu ya barcerefalona..
Acha hizo mkuu GANG'yaani hata kabla ya mechi we unahisi barca kubebwa bebwa tu,au ushayapata matokeo nini na ndo maana mpaka sasa hutaki kubandika utabiri?acheni woga pigeni mpira,hatutaki excuses za ubereko wa refa!kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo watu wanazidi kugundua kuwa Barca walikuwa overrated...
Hapa Montolivo, pale Ambrosini, kule kuna Boateng halafu kwa palee panaweza kuwa na Alhaj Suleymane Ally bin Muntari...
Hao ndio sungusungu wanaotarajiwa kuvunja nguvu za Refa pale katikatiki...
Forza Milan
...................
Tulishuhudia msimu uliopita Refa akiharibu pambano la Milan na Barca kwa kuamuru ipigwe penati kabla ya kona kupigwa hivyo Deadball ikazaa Deadball kitu ambacho hata kwenye Rugby hakipo.
..................
IMEANDIKWA
Watashindana lakini hawatashinda...
Baba wa soccer la ulaya ni Italia kunakotoka club bora zaidi duniani kama Juventus, Milan, Inter, Roma, Lazio, Napoli n.k.
Match na wakatalunya ni ngumu ila "hakuna marefu yasiyo na ncha"
Kama walifungwa na madem zetu wa Celtic then Ac Milan wakaze buti tu Barca inafungika
Acha hizo mkuu GANG'yaani hata kabla ya mechi we unahisi barca kubebwa bebwa tu,au ushayapata matokeo nini na ndo maana mpaka sasa hutaki kubandika utabiri?acheni woga pigeni mpira,hatutaki excuses za ubereko wa refa!