Jameel2013
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 824
- 762
Sababu kubwa wa China unaona wapo wametapaka sababu moja tu wao ni rahisi tu sio lingine.Marekani anataka aaminishe watu kuwa ni tech giant, sawa Qualcomm wanakimbiza hilo halina ubishi. Wangewaacha huawei waendelee na 5g angefukia kampuni zote za marekani, kumbuka sababu ya Foxconn kufunga kiwanda marekani.
Future ya teknolojia ipo nje ya marekani.
Mfanol
Nakupa angalizo moja hili litakuwa lipo halisi
Angalia mradi wa MWENDO KASI tu utapata jibu angalia ule mradi waliojenga wale Wa Austria na huu ambao wanajenga wao CHINA utaona utafuti mkubwa sn.