Lisu kuula ICJ

Toka lini mchochezi na kibaraka wa mabeberu akapewa nyazifa kubwa na na hiyo,endelea kuota apo ufipa.
Mkuu si kila anayeota ndoto za namna hii yuko ufipa hapana Mimi ni mzalendo ambae nayatazama Mambo alafu nayafanyia tafakuri.
 
ICJ kwa uwakili wa kusimamia vikesi uchwara vilivyopelekwa mahakamani sababu tu ya siasa.Hakuna kesi yoyote ambayo iliyokuwa na mashiko LISU alishinda katika huu ulimwengu wa Sheria kuna watu kama MASUMBUKO LAMWAI,MARANDO,MAJURA MAGAFU, PROF SHIVJI ,KABUDI, SAMATHA J,NYALALI J. msije mkafikiri ICJ ni kisutu. Watu tunachungulia kila maktaba za bongo hakuna hata kijarida alichoandika LISU wala mawazo mapya aliyoyaleta kwenye ulimwengu wa Sheria .Hata akifa Leo hakuna cha kukumbuka kwake zaidi ya tukio la Risasi zote kuishia mwilini kwake bila kufa.
 
Akilamba hii kazi,ndugai atakufa kwa kihoro,yaani mishuzi itakuwa inamtoka kwa mfululizo,
 
Mkuu hao walikuwa na mwanzo!huoni Kama Lisu Safari yake itaanzia hapo Kwenye risasi mpaka Kwenye ulimwengu wa ubobevu wa sheria?
 
Akilamba hii kazi,ndugai atakufa kwa kihoro,yaani mishuzi itakuwa inamtoka kwa mfululizo,
Ndugai ni kipaza sauti tu mkuu.Kumbuka Ndugai kafanya haya kutii agizo baada ya kujichanganya kwa mtoto kipenzi na Taifa stars Sasa anajaribu kubalance situation pale magogoni.
 
Mkuu hao walikuwa na mwanzo!huoni Kama Lisu Safari yake itaanzia hapo Kwenye risasi mpaka Kwenye ulimwengu wa ubobevu wa sheria?
Hakuna ubobezi kwa kuzungumza waliofanya wenzako tu lazima pia tusome mawazo yako ili tuone unafaa kuwa hivyo siyo porojo na kutukana ulikotoka kwa ufupi Quality ya Kibatala katika Sheria ni kubwa sana kuliko LISU na ukiingia kwenye maktaba za vyuo kikuu utakutana na mawazo yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…