Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,557 Aug 8, 2017 #21 Umekosea kusema Sky Eclat ni wa uswazii huyo yupo kwa malikia huko anatibu watuu ww endelea tu unadhani ni size yako..
Umekosea kusema Sky Eclat ni wa uswazii huyo yupo kwa malikia huko anatibu watuu ww endelea tu unadhani ni size yako..
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 23,877 Reaction score 31,652 Aug 8, 2017 #22 Good Neighbour said: Hahaha,mkuu watu tuko tofauti. Yuko kwenye wale watu wanaosema "usinikubali haraka" nsumbue kwanza Click to expand... Anhaa basi sawa. Ila watu kama hao kwangu hawana nafasi kabisa. Nikikusalimia mara moja ukiuchuna basi ujue nakukataa mazima .
Good Neighbour said: Hahaha,mkuu watu tuko tofauti. Yuko kwenye wale watu wanaosema "usinikubali haraka" nsumbue kwanza Click to expand... Anhaa basi sawa. Ila watu kama hao kwangu hawana nafasi kabisa. Nikikusalimia mara moja ukiuchuna basi ujue nakukataa mazima .
Alonso14 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2017 Posts 1,785 Reaction score 1,827 Aug 8, 2017 Thread starter #23 Mondray said: Umekosea kusema Sky Eclat ni wa uswazii huyo yupo kwa malikia huko anatibu watuu ww endelea tu unadhani ni size yako.. Click to expand... Ameshanipwelepweta
Mondray said: Umekosea kusema Sky Eclat ni wa uswazii huyo yupo kwa malikia huko anatibu watuu ww endelea tu unadhani ni size yako.. Click to expand... Ameshanipwelepweta
Alonso14 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2017 Posts 1,785 Reaction score 1,827 Aug 8, 2017 Thread starter #24 aganza said: Hayanihusu Click to expand... Next na ww utakuwemo
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 23,877 Reaction score 31,652 Aug 8, 2017 #25 Alonso14 said: Huyu anapatikana jukwaa la intelligence Click to expand... Ok,ila simfahamu ndio kwaanza namsikia leo . Lakini najua yeye lazima atakuwa ananifahamu tu.
Alonso14 said: Huyu anapatikana jukwaa la intelligence Click to expand... Ok,ila simfahamu ndio kwaanza namsikia leo . Lakini najua yeye lazima atakuwa ananifahamu tu.
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 23,877 Reaction score 31,652 Aug 8, 2017 #26 aganza said: Hayanihusu Click to expand... Ha ha ha
Alonso14 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2017 Posts 1,785 Reaction score 1,827 Aug 8, 2017 Thread starter #27 Hance Mtanashati said: Ok,ila simfahamu ndio kwaanza namsikia leo . Lakini najua yeye lazima atakuwa ananifahamu tu. Click to expand... Eti anakufahamu unandoto nyevu
Hance Mtanashati said: Ok,ila simfahamu ndio kwaanza namsikia leo . Lakini najua yeye lazima atakuwa ananifahamu tu. Click to expand... Eti anakufahamu unandoto nyevu
Good Neighbour JF-Expert Member Joined Jul 12, 2017 Posts 942 Reaction score 898 Aug 8, 2017 #28 Hance Mtanashati said: Anhaa basi sawa. Ila watu kama hao kwangu hawana nafasi kabisa. Nikikusalimia mara moja ukiuchuna basi ujue nakukataa mazima . Click to expand... Hahaha,una roho ya paka mkuu.zinakutokea sana nini hizo ishu
Hance Mtanashati said: Anhaa basi sawa. Ila watu kama hao kwangu hawana nafasi kabisa. Nikikusalimia mara moja ukiuchuna basi ujue nakukataa mazima . Click to expand... Hahaha,una roho ya paka mkuu.zinakutokea sana nini hizo ishu
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,557 Aug 8, 2017 #29 Usidanganyike na miandiko ya watuu humuu, mwanzo nilijua yupo kweli Dar ila nikathibitisha mwenyewe pm Alonso14 said: Ameshanipwelepweta Click to expand...
Usidanganyike na miandiko ya watuu humuu, mwanzo nilijua yupo kweli Dar ila nikathibitisha mwenyewe pm Alonso14 said: Ameshanipwelepweta Click to expand...
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 23,877 Reaction score 31,652 Aug 8, 2017 #30 Alonso14 said: Eti anakufahamu unandoto nyevu Click to expand... Sawa.
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 23,877 Reaction score 31,652 Aug 8, 2017 #31 Good Neighbour said: Hahaha,una roho ya paka mkuu.zinakutokea sana nini hizo ishu Click to expand... Yaah Ila mara chache sana.
Good Neighbour said: Hahaha,una roho ya paka mkuu.zinakutokea sana nini hizo ishu Click to expand... Yaah Ila mara chache sana.
Alonso14 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2017 Posts 1,785 Reaction score 1,827 Aug 8, 2017 Thread starter #32 Hance Mtanashati said: Sawa. Click to expand... Lakn mbona waliotajwa hawapo?
Black fire JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 755 Reaction score 1,323 Aug 8, 2017 #33 Hance Mtanashati said: Aliyekudanganya Sky Eclat ni wa uswazi amekupata haswaa. Huyo ni daktari asiyekuwa na makuu Halafu hakai uswazi,anakaa ushuani huyo ila anapenda kujimix tu na kila mtu. Click to expand... Hata mm najua huyu Sky Eclat sio wa uswazi. Huwa namuelewa sema niliwahi kumuuliza km yy ni daktari akakataa. Ila najua ni daktari. Sent using Jamii Forums mobile app
Hance Mtanashati said: Aliyekudanganya Sky Eclat ni wa uswazi amekupata haswaa. Huyo ni daktari asiyekuwa na makuu Halafu hakai uswazi,anakaa ushuani huyo ila anapenda kujimix tu na kila mtu. Click to expand... Hata mm najua huyu Sky Eclat sio wa uswazi. Huwa namuelewa sema niliwahi kumuuliza km yy ni daktari akakataa. Ila najua ni daktari. Sent using Jamii Forums mobile app
Alonso14 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2017 Posts 1,785 Reaction score 1,827 Aug 8, 2017 Thread starter #34 Waliotajwa njooni humu
Good Neighbour JF-Expert Member Joined Jul 12, 2017 Posts 942 Reaction score 898 Aug 8, 2017 #35 Alonso14 said: Lakn mbona waliotajwa hawapo? Click to expand... Sema wana wakati mgumu sana mana idadi yao kwa sasa duniani ni kubwa mara dufu ya wanaume.ringa,wako wengi
Alonso14 said: Lakn mbona waliotajwa hawapo? Click to expand... Sema wana wakati mgumu sana mana idadi yao kwa sasa duniani ni kubwa mara dufu ya wanaume.ringa,wako wengi
Alonso14 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2017 Posts 1,785 Reaction score 1,827 Aug 8, 2017 Thread starter #36 Black fire said: Hata mm najua huyu Sky Eclat sio wa uswazi. Huwa namuelewa sema niliwahi kumuuliza km yy ni daktari akakataa. Ila najua ni daktari. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nitajaribu kumwambia naumwa
Black fire said: Hata mm najua huyu Sky Eclat sio wa uswazi. Huwa namuelewa sema niliwahi kumuuliza km yy ni daktari akakataa. Ila najua ni daktari. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nitajaribu kumwambia naumwa
Alonso14 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2017 Posts 1,785 Reaction score 1,827 Aug 8, 2017 Thread starter #37 Good Neighbour said: Sema wana wakati mgumu sana mana idadi yao kwa sasa duniani ni kubwa mara dufu ya wanaume.ringa,wako wengi Click to expand... Kwaiyo turinge sio.?
Good Neighbour said: Sema wana wakati mgumu sana mana idadi yao kwa sasa duniani ni kubwa mara dufu ya wanaume.ringa,wako wengi Click to expand... Kwaiyo turinge sio.?
Black fire JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 755 Reaction score 1,323 Aug 8, 2017 #38 Alonso14 said: Nitajaribu kumwambia naumwa Click to expand... Atakupa ushauri alafu apotee. Na ukimuulza km ni daktari atakataa Sent using Jamii Forums mobile app
Alonso14 said: Nitajaribu kumwambia naumwa Click to expand... Atakupa ushauri alafu apotee. Na ukimuulza km ni daktari atakataa Sent using Jamii Forums mobile app
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 23,877 Reaction score 31,652 Aug 8, 2017 #39 Black fire said: Hata mm najua huyu Sky Eclat sio wa uswazi. Huwa namuelewa sema niliwahi kumuuliza km yy ni daktari akakataa. Ila najua ni daktari. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Huyo lazima atakuwa ni daktari tu,vitu anavyoviandika kule kwenye jukwaa la JF doctors vinadhihirisha hilo.
Black fire said: Hata mm najua huyu Sky Eclat sio wa uswazi. Huwa namuelewa sema niliwahi kumuuliza km yy ni daktari akakataa. Ila najua ni daktari. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Huyo lazima atakuwa ni daktari tu,vitu anavyoviandika kule kwenye jukwaa la JF doctors vinadhihirisha hilo.
Black fire JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 755 Reaction score 1,323 Aug 8, 2017 #40 Umemsahau Heaven Sent Sent using Jamii Forums mobile app