List ya wanafunzi wa Form Six Waliochaguliwa Kujiunga JKT 2021

Huu ni upuuzi miezi mitatu mtoto anajifunza nini?ndani ya hyo miezi mitatu akalime,na hyo hyo akafanye mafunzo nilichoona hakuna cha maana zaidi ya kuongeza gharama za kuwalisha
 
Watoto wa kike hao JKT wanatafunwa sana na wenyeji wao....waangalie wasije kumaliza halafu wanaondoka na Ngoma.
kutafunwa ni uamuzi wa mtoto mwenyewe pamoja na kutokuwa wavumilivu wa sulubu za kambini, sema hata hivyo vitoto vya siku hizi vinapenda sana kutafunwa vingine vinatoka shule za girls vinakuwaga na nyege sana.
 
naomba msaada wa kupata e-mail ya JKT maana kuna dogo hatopata uwezo wa kwenda Mafunzoni hivyo kaniomba nifanye alternative aweze kupost pone, kwa maana hiyo pia nsaidien nani tunamuandikia barua kwenye uongozi wa JKT makao makuu

Msaada plz,

Nawasilisha.
 
Ingia website ya JKT utaona
 
Huu ni upuuzi miezi mitatu mtoto anajifunza nini?ndani ya hyo miezi mitatu akalime,na hyo hyo akafanye mafunzo nilichoona hakuna cha maana zaidi ya kuongeza gharama za kuwalisha
Yote watafanya wala usiwe na wasiwasi kule siku moja ni sawa na wiki uraian .
 
Ninaongea nachokijua wala sio kuadithiwa
Huna unachokijua JKT ina impact kubwa sana kwenye maisha ya hao vijana iwe mbaya au nzuri madhara lazima yapo na wanataka kufanya mwaka mimi nashauri iwe miwili kama israel 🇮🇱
 
Ingesomeka Orodha ya wahitimu wa kidato cha sita siyo wanafunzi,
 
Huna unachokijua JKT ina impact kubwa sana kwenye maisha ya hao vijana iwe mbaya au nzuri madhara lazima yapo na wanataka kufanya mwaka mimi nashauri iwe miwili kama israel
Nakushauri soma vizuri nilichoandika JKT naijua sana kuliko unavofikiria upo?labda ukinambia mwaka hapo naweza kukuelewa ila sio miezi mitatu
 
Huna unachokijua JKT ina impact kubwa sana kwenye maisha ya hao vijana iwe mbaya au nzuri madhara lazima yapo na wanataka kufanya mwaka mimi nashauri iwe miwili kama israel
Civilization ya israel is way far advanced kuliko ya kwetu !kinachowafaa wao sio lazima sana kitufae sisi ,haya makambi wawapeleke vijana wakishamaliza vyuo kwa sasa wanawaonea na kusambaza ukimwi kutoka kwa hao hao wanajezho

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom