isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,146
- 6,564
Yes! Nilimsahau huyu, ni most overrated.Kylan mbape.
leno, saka, TierneyHabari [emoji1480]
Kumekuwa na wimbi la wachezaji wa soka wanaopewa uwezo ambao kiuhalisia hawana na mara nyingi wanakuzwa na waandishi wenye mawazo hasi na vyombo vya habari vilivyojijenga katika propaganda.
Tafiti ndogo niliyofanya inaonyesha wachezaji kuwa overrated hutokana na chuki dhidi ya klabu husika kupelekea klabu nyingine wachezaji wake kukuzwa.
Mfano;- Clouds Media Group ni chombo kilichosheheni chuki dhidi ya klabu ya Arsenal, Arsenal hata icheze na timu gani bado Arsenal itaonyeshwa kuwa dhaifu na wachezaji wa timu pinzani watasemwa kuwa na viwango visivyoweza kuhumilika.
-
Hawa ni baadhi ya wachezaji OVERRATED
0. Thomas Partey
1. Phil Foden
2. Jack Grealish
3. Marcus Rashford
4. Timo Werner
5. Anthony Martial
6. Gabriel Jesus
7. Joao Felix
8. Son Hyeung Min
9. Sadio Mane
10. Mohammed Salah
11. Richarlson
12. ΓaΔlar Soyuncu
13. Miguel Almiron
14. Bernard Morrison
15. Bernardo Silva
16. Alexander Arnold
17. Naby Keita
18. Nicolas Pepe
19. Wilfred Zaha
20. Mason Greenwood
21. Scott McTominay
22. Cristian Pulisic
Hawa ni baadhi tu, unaweza kuongeza wachezaji overrated.
Kila mtu anao mtizamo wake ndio maana ya 'tafiti binafsi'. Kama unaona Salaha na Mane sio overrated hatuna cha ku argue.Wewe rudi tu kwenye netball yako kama mtazamo wako unaona Salah&Mane basi hatuna cha Ku argue.
MbappeHabari ππΎ
Kumekuwa na wimbi la wachezaji wa soka wanaopewa uwezo ambao kiuhalisia hawana na mara nyingi wanakuzwa na waandishi wenye mawazo hasi na vyombo vya habari vilivyojijenga katika propaganda.
Tafiti ndogo niliyofanya inaonyesha wachezaji kuwa overrated hutokana na chuki dhidi ya klabu husika kupelekea klabu nyingine wachezaji wake kukuzwa.
Mfano;- Clouds Media Group ni chombo kilichosheheni chuki dhidi ya klabu ya Arsenal, Arsenal hata icheze na timu gani bado Arsenal itaonyeshwa kuwa dhaifu na wachezaji wa timu pinzani watasemwa kuwa na viwango visivyoweza kuhumilika.
-
Hawa ni baadhi ya wachezaji OVERRATED
0. Thomas Partey
1. Phil Foden
2. Jack Grealish
3. Marcus Rashford
4. Timo Werner
5. Anthony Martial
6. Gabriel Jesus
7. Joao Felix
8. Son Hyeung Min
9. Sadio Mane
10. Mohammed Salah
11. Richarlson
12. ΓaΔlar Soyuncu
13. Miguel Almiron
14. Bernard Morrison
15. Bernardo Silva
16. Alexander Arnold
17. Naby Keita
18. Nicolas Pepe
19. Wilfred Zaha
20. Mason Greenwood
21. Scott McTominay
22. Cristian Pulisic
Hawa ni baadhi tu, unaweza kuongeza wachezaji overrated.
Leo nimekupa Like kwa kuuona upambavu wa mpumbavu mwenzioMods uzi kama huu wa mapimbi kwanini mnaupa airtime humu jf kwa greater thinker ..!
Inategemea umesimama wapi sheikh, matokeo na mawazo yako pia yanaweza kuwa Kichizi.Sio lazima kila mtubawe muanzisha thread wengine tuwe wachangiaji, matokeo yake ndio haya mnaanzisha nyuzi za kichizi, we mane, salah, son.......... [emoji23] [emoji849] [emoji848]
Hii ni moja ya comment yako kupitia thread ya Manchester United π tukijifunza kuheshimu mawazo ya wengine ni vyema pia.Mods uzi kama huu wa mapimbi kwanini mnaupa airtime humu jf kwa greater thinker ..!
Siku zote lazima upande mmoja uwe sahihi ama sivyo wote mkae uoande mmoja ambao aidha wote muwe sahihi au wote msiwe sahihi...Inategemea umesimama wapi sheikh, matokeo na mawazo yako pia yanaweza kuwa Kichizi.