WilsonKaisary
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 392
- 947
Baada ya Mhe.ANGELA JASMINE MBELWA KAIRUKI kugoma kuwafanyia uhakiki wabunge kwa sababu ya kujua kusoma na kuandika na sisi hatutaki wabunge wa namna hiyo hao ndio wanaosema ndio kila jambo bungeni kupelekea kupitisha sera mbovu na sheria mbovu nchini.
Na sisi tufanye ukaguzi wetu hao ni baadhi bado waliofoji vyeti na serikali isisahau kuwa hawa nao ni watumishi wa umma..
Hivi wabunge wa viti maalumu wanateuliwa? mbona wengine hawana elimu kabisa wameteuliwa?