bei nafuu ni kiasi gani...je nafuu yangu ni sawa na nafuu yako?!nadhani ungeweka range ya ada ambayo wewe unai-define kama nafuu!Wakuu naomba msaada kwa mwenye ujuzi na hili, naulizia Shule ya bweni yenye ada nafuu sana, ambayo inapokea Risitors.,
Iwe ya Boys, au hata boys & Girls,
bei nafuu ni kiasi gani...je nafuu yangu ni sawa na nafuu yako?!nadhani ungeweka range ya ada ambayo wewe unai-define kama nafuu!
Acacia Sec Vikuruti Kibaha Pwani.
Ada: 750,000/- p.a
Msosi: Mainly Sembe/beans.
Performance: Google NACTE to see the trend ...
Acacia ina A level ?Acacia Sec Vikuruti Kibaha Pwani.
Ada: 750,000/- p.a
Msosi: Mainly Sembe/beans.
Performance: Google NACTE to see the trend ...
naomba namba ya cm ya apo xkul au iyo ada pamoja na michangoKahunda sekondari, ni shule ya bweni kwa wote waschana na wavulana. Ni shule ya private inayomilikiwa na kanisa la AICT, iko Sengerema-Mwanza. Ada yao ni 900,000/= iko kwenye mazingira mazuri ya kujifunzia. Karibu sana!