List ya recruitment agencies Tanzania

Kwa mlio katika ajira chungeni sana.
Haya makampuni mengi kutokana na ufanyaji kazi wao yana mahusiano mazuri na Ma-HR wengi tu.
Ukituma CV kwao wanamshtua Mwajiri wako.
Jamaa yangu mmoja kwa sasa yuko kwenye mahusiano mabaya sana na mwajiri wake baada ya kugundua kua jamaa anataka kuondoka.
 
Kwa anayehitaji email addresses au namba za simu kwa contact persons wa kila kampuni tafadhali unipatie email address yako na leo jioni nita forward spreadsheet yenye kila kitu.
Poa mkuu..,lakini kama ukitupiahiyo spreadsheet hap hapa JF itakuwa poa sana..!
 
Prospect africa
Manpower agency
Bizonline Recruitment
Radar Recruitment
Erolink
www.shughuli.com
Tzonline is a division of New Tech Industries, Inc.
Enrich Africa Ltd
www.brightermonday.com
Jobconnect
www.redma.com
Talent Resources
Emaron.com - FOR SALE
www.empower.co.tz
Professional Approach
Delloite & Touche
Professional Recruiters
Genius Consultancy
Link Up
Shughulika Recruiters
Epic Business Resources Limited
Loading...
Kazi999
www.everythindar.com
Masai Empire Tanzania Ltd
Gamurous Tanzania Ltd
wana jamvi hiyo shit ndo imepotelea kwnye email zenu au ni vp? ebu fanyeni muitupie hapa jf
 
Bila shaka sijachelewa sana, mimi pia naomba unitumie spreadsheet yenye kila kitu kuhusu recruitment agencies Tanzania.
Email yangu ni: joseesnr@gmail.com
Tanks in advance
 
Kah kuna wa2 wana roho ndogo sana km mmepata hiyo sheet weken basi hapa na sisi tuone au mnataka kumbebesha mzigo wote jamaa?kuweni na utu bana usaidiwapo na ww saidia na utabarikiwa
 
Kwa mlio katika ajira chungeni sana.
Haya makampuni mengi kutokana na ufanyaji kazi wao yana mahusiano mazuri na Ma-HR wengi tu.
Ukituma CV kwao wanamshtua Mwajiri wako.
Jamaa yangu mmoja kwa sasa yuko kwenye mahusiano mabaya sana na mwajiri wake baada ya kugundua kua jamaa anataka kuondoka.

Ungesema jina la kampuni hiyo is ndo ingesaidia zaidi? Pia ni mbaya sana as wanasoma CV labda na kwenda kumuwahi mwajiri kuwa watamsaidia kumtafutia mfanyakazi

Ila hii kama ni mimi ningewashitaki big time, lazima kuna kipengele cha hii sheria mahali. I hope so
 
Back
Top Bottom