List Ya Movie Sound track Kali ambacho zinaishi

Hamna aliyetaja Soundtrack ya Supernatural “Carry on my wayward son” hii series nimeangalia niko shule mpaka nkamaliza chuo kitu ni 15 seasons toka 2005 mpaka 2020...the shit was gold sijapata kitu kingine even close

 
Soundtrack ya Kickboxing yake jean Claude vandame, na yule master wake wa kichina kule kijijini, movie nzima masoundtrack ya ukweli
 
Mimi napenda movie zenye maadhi ya kizamani zaidi ndiyo maana hata nilizo orodhesha hapo zina taste ya zamani.
Series zangu pendwa ni
Game of thrones
spartacus
Jumong
Chuno
Movies ni
300 spartan
300 rise of empires
gladiator
troy
Series ambazo ziko modernized ni
Power
American Odessy
Queen of the south
Gang related
Homeland
Movies modernized ni nyingi ila baadhi ni
Franchise yote ya Jasson Borne'
frontier
Hitman
nimetazama movies kibao kiasi kwamba nimezisahau ila siku hizi ni mara chache kutazama movie nikaipenda
Hapo kwenye,
Troy,
Gladiator,
300 BC
300 empire.
Brave heart,, ni hatari sana.
 
Kwangu movie sound track bora kabisa ni American ninja part 1.

Michael Dudikof.

34 years ago lakini bado nalisikia masikioni mwangu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom