List ya majina ya mafisadi itatolewa lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

List ya majina ya mafisadi itatolewa lini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BAK, Sep 13, 2008.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,609
  Trophy Points: 280
  Je, hata hao waliorudisha shilingi bilioni 53, shilingi bilioni 60 ooh! hakuna anayejua kiasi halisi kilichorudishwa maana viongozi ndani ya serikali namba zinawagonga, nao bado wanonekana ni 'innocent until proven guilty' pamoja na kurudisha pesa za wizi?

  Tanzania yet to issue corruption...

  2008-09-13 10:14:51
  By Rose Mwalongo

  The government is yet to submit names of corrupt public officials to the US government in response to the recent stance by the latter to deny safe haven to people accused of corruption.

  The Minister of State, President`s Office (Good Governance), Sophia Simba said yesterday that so far no public official had been proved to have amassed wealth through bribery by any court of law.

  She said the law presumed everybody innocent until proved otherwise by a competent court of law.

  ``Although some public officials are still under investigation concerning their involvement in a number of questionable deals such as Richmond, EPA and the purchase of radar, they are still innocent until proved otherwise,`` she said.

  The US government issued a statement on Monday saying that corrupt public officials, their dependents who benefit from corruption, and those who try to corrupt officials will be denied ``safe haven`` in the U.S.

  Three major corruption scandals� the purchase of radar, the controversial power generating contract involving an American company�Richmond and embezzlement of billions of money in the central bank`s External Payment Arrears Account (EPA) have rocked the country.

  The government is said to be investigating some of the officials involved in the major scandals, although Simba said their names could not be blacklisted at the moment as they were still innocent.

  Former prime minister Edward Lowassa and two ministers-Nazir Karamagi and Dr Ibrahim Msabaha had to resign early this year after the report of the parliamentary select committee implicated them in the Richmond scandal.

  Former minister for infrastructure development Andrew Chenge also had to resign after it was discovered that he has deposited USD 1 million in an offshore account.

  The money is suspected to have connection with the purchase of the radar, which was bought when Chenge was the attorney general.

  Simba said yesterday that good governance was about the rule of law adding, ``let us wait for the court of law to prove that they are guilty, and then we will know what to do.``

  However, no one has been taken to court yet and the US government is yet to reveal the names of suspects it has in mind.

  Commenting on the issue, professor Baregu from the University of Dar es Salaam said the government was playing a destructive game by failing to hold accountable those implicated in major scandals.

  ``Good governance, apart from observing the rule of law, means accountability and fighting corruption. However, the government has failed to hold accountable those implicated in corruption dealings,`` said Baregu.

  He said he found no reason why the government could not take to court those implicated although it had the mandate to do so.

  Commenting on the same issue, Karatu legislator Wilbrod Slaa said the government was the one to send names of corrupt officials`` or else there is nothing that the US can do.``

  ``The US will not take any measures if they don`t receive the list. Let the government send the list if they are serious enough. It takes good intention to put things in place. So far, the government has been playing a dubious game by giving the chance to corrupt officials to return EPA money without taking them to court,`` said Dr Slaa.

  On Tuesday, The Guardian inquired from the French Ambassador to Tanzania, Jacques de Labriolle, whether�after the US announcement� the EU would follow suit by banning Tanzanian graft suspects from travelling to Europe and what was the EU going to do about the loot banked by Tanzanian graft operatives in Europe.

  France is currently holding the EU presidency.

  He said: ``The European Union is certainly not a safe place for those who are corrupt Though judicial matters are very much under the sovereignty of member states, rather than the Union, the EU has for a long time adopted legislation which allows member states to decide sanctions against individuals, including visa and financial restrictions.``

  He added: The financial restrictions could be in the form of freezing bank accounts. Such measures follow very strict and administrative rules, on when to decide them, why or against whom.
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Juzi kwenye NEC wamesema kuwa hakuna fisadi, sasa wapeleke list gani tena jamani? Mbona mnawafuatafuata bila sababu!!!!!!!!!
   
 3. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2008
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Nafikiri issue ni simple kama wamesema hakuna fisadi basi Ubalozi wa marekani na EU wawafungie viongozi wote wa CCM waliohudhuria mkutano huo wa NEC. Maana mwizi hawezi kujipeleka polisi. Ukificha mwizi na wewe ni mwizi
   
 4. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,570
  Likes Received: 1,936
  Trophy Points: 280
  wananchi wakitaka waweze kuwashughulikia mafisadi ni kuwafuata humo ccm...Kumbuka wahenga walisema aliyeko juu mngoje hapo chini maana hana pa kwenda...Matter fact wengine wawafuate huko huko juu na wengine wawasubiri chini.....
  Mkiamia upinzani ndio mambo kama ya kina wangwe na migawanyiko inaongezeka na wanakuwa na uwezo wa kupanga njama za kuwafutilia mbali...Keep your enemy closer....
  Hakuna mali waliyonayo ccm ambayo si ya wananchi...Hivyo kujidai wapinzani ni sawa na kuwa wewe si mtanzania kwasababu hata maslahi ya kazi nk huwezi pata kama wewe mpinzani...Unless upige kelele kama Zitto then unaweza kupewa kamati...Ama chama kipate viti kadhaa then mpate ruzuku za wananchi na huku nchi ikirudi nyuma na mali zikifujwa
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,609
  Trophy Points: 280
  Yeah, tell me about it! Na wale waliokupua shilingi bilioni 133 za EPA, shilingi bilioni 155 za Meremeta, shilingi bilioni 12 za Rada, na shilingi 152 millioni kwa siku malipo ya Richmond bila kuzalisha chochote, na yule aliyekupua mgodi wa Kiwira wenye thamani ya shilingi bilioni 4 na kujiuzia kwa shilingi 70 millioni wote hao si mafisadi bali ni Watanzania tu wakitumia Utanzania wao na 'usharp wao' kujitajirisha wakati wadanganyika wakiendelea kuchapa usingizi mzito. Hao viongozi wa NEC wengi nao ni mafisadi. Ama kweli Tanzania hakuna mafisadi!!! Ingekuwa mwaka 47 wengi tungeamini hivyo, lakini in 2008 we know better than that.
   
 6. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2008
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hakuna tena mafisadi tayari Chama chao kimewasafisha na kuwapa kazi nyeti.
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,609
  Trophy Points: 280
  Chama cha mafisadi kinaweza kabisa kuwa kimewasafisha, lakini Watanzania bado hatujamsafisha fisadi yoyote na wafadhili pia bado wamegoma kutoa bulungutu lao la shilingi bilioni 812 ambalo ni sawa na 40% ya bajeti ya Tanzania ya mwaka 2008/2009 na huko serikalini bado matanuzi yanaendelea kama kazi. Isije ikafika January 2009 sirikali ya kifisadi ikawaambia waajiriwa wake kwamba haina pesa za kulipa hata mishahara.
   
 8. F

  Fisadi Mtoto JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2008
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 639
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nani alikuahidi kuwa majina ya mafisadi yatatoka,ili uyafanye nini kwa mfano myu kama wewe?
   
 9. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,570
  Likes Received: 1,936
  Trophy Points: 280
  BAK, issue ya kuamuliwa mahakamini wameifanya ya kisiasa kwa kuita "kuvuana magamba" wakati ukweli ni kwamba ili wazuiliwe na hizo pesa ni lazima wawe convicted for corruption.

  Waberoya juzi hapa kasema wameshaanza kuziamishia pesa zao kwenye mabenki ya nje.
   
Loading...