List ya madem inanitesa

Mwanangu ndandawamalenja list hiyo itakutesa hadi kufa. Wahenga walisema akutwaye na ngozi ndiye mwizi. Kwa vile uliweka ushahidi hata angekuwa nyuni angeamini ni wako. Kwanini kuweka ushahidi mwanangu wakati ukijua uta kuna siku vitatumika kukufungulia kesi? Sasa angalia unavyoangamia kwa mkono wako mwenyewe. Mie nadhani dawa siyo kuamsha mikono bali kutafuta jinsi ya kumwaminisha mkeo kuwa hutarudia ufuska huo. Vijana wa siku hizi mnazini kama vile hakuna kufa! Wanawake 94 wote wa nini? Unadhani unaweza kuwamaliza wote au kutosheka? Mtamaliza mabucha nyama ni ile ile.
 
Hakuna kitu nachukia kama huo ujinga wa kuweka record za wanawake, wewe ulikuwa nalo la nini, you were also interested, ni ujinga uliopitiliza.
 
kwani wewe ulikuwa unamtumzia hilo daftari kwani we ni library au mtunza majarada? Hacha hizo jishushe mwombe radhi mkeo atatulia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…